Kuding Plus Tea
Viungo:
Folium Ilicis Kudingchae, Radix Panacis Quinquefilii, Ganoderma, Folium Camelia
Kazi Na Faida Zake
- Kuzuia mafua
- Inazuia rhinitis, kuwashwa kwa macho, macho mekundu na maumivu ya macho yanayotokana na joto
- Kutoa sumu na kusaidia kutembea kwa chakula tumboni
- Inasaidia kutuliza akili na kumbukumbu
- Inasaidia mzunguko wa damu, hupunguza cholesterol, sukari katika damu na pressure
- Inazuia kuzorota kwa ufanyaji kazi wa moyo na ubongo
- Inauweka mwili kwenye uzito unaofaa
Yafaa Kwa:
- Makundi yote isipokuwa wanawake wenye mimba
Maelezo Muhimu:
Green World Kuding Plus Tea inachukua kuding kutoka kwenye mashamba yaliyopo sehemu ya kusini ya nchi ya China ambako hakuna uchafuzi wa mazingira. Kiungo kikuu cha kuding tea ni Folium ilicis Latifoliae na inachanganywa na mimea mingine ya thamani kama American ginseng, ganoderma, n.k. ili kuongeza uwezo wake wakati huo huo ladha yake ikiboreshwa. Mmea huu ni nadra sana kuliwa na wadudu kwa sababu ya uchungu wake, hauna haja ya dawa za kuulia wadudu, kwa hiyo hauna mabaki ya dawa hizo na ni salama.
Matokeo ya utafiti yanaonyesha kuwa kuding tea inaweza kusaidia mzunguko wa damu, kutunza urembo na mwonekano wa ujana, kuondoa sumu, kupunguza uvimbe, ina matokeo mazuri kwenye kuondoa kukauka kwa koo, stomatitis, gingivitis na kuziba choo. Wakati huo huo, ina matokeo mazuri katika kuzuia hypertension, kupunguza lipid, na kuondoa mafuta kwenye ini.
Thamani Ya Lishe Ya Kuding Tea:
Green World Kuding Tea ina uwingi wa kuding saponin, american ginseng saponin ambazo zimepewa majina ya kudinosides na kudinlactones; pia ina ganoderma lucidum polysaccharide, polyphenols, flavonoids, quercetin, selenium, vitamini C,D,E na madini. Kiwango cha flavonoids ndani ya kuding tea ni zaidi ya mara 10 ya kile kilichimo ndani ya majani ya chai ya aina nyingine.
Faida Za Kiafya Za Kuding Tea:
Utafiti wa hivi karibuni unaonyesha kuwa kuding tea inasaidia mzunguko wa damu mwilini, inapunguza pressure, inapunguza lipids kwenye damu, ikiwa ni pamoja na cholesterol. Ina sifa ya kuzuia kudhoofika kwa utendaji kazi wa moyo na ubongo na kuuweka mwili katika uzito unaotakiwa. Inapendekezwa kwa matatizo ya ini kuwa na mafuta (fatty liver) na kukosa choo. Kiwango cha kutosha cha faida za mwili kinahusishwa na kuding. Inasadidkika kuwa inaondoa hali ya kutotulia, na kiu hasa mtu anapokuwa anaumwa ugonjwa ambao unampa homa kali au kuharisha. Inaondoa kikohozi na kutibu bronchitis. Mwisho, inasadikika kuwa kuding tea inaongeza kasi ya mmeng'enyo wa chakula na kuboresha utulivu wa mawazo na kumbukumbu.
Tabia Za Kipekee Za Kuding tea
Utakapokunywa kuding tea kwa mara ya kwanza utaiona kuwa si ya kwaida. Ina ladha kamili, yenye uchungu, ambayo kwanza itakufanya usiipende. Lakini kwa chini ina utamu fulani, utamu ambao unaongezeka pale ambapo uchungu unapoisha
<<<<< MWANZO